Habari Mpya
-
DCEA yashiriki Maonesho Wiki ya Sheria
Jan 25, 2023Dodoma
-
Dec 29, 2022
Zaidi ya tani mbili na nusu za dawa za kulevya zateketezwa
-
Dec 07, 2022
Kilo 16.643 za Dawa za Kulevya Zakamatwa jijini Dar es Salaam
-
Oct 13, 2022
Serikali Yaomba Viongozi wa Dini Kukemea Matumizi ya Dawa za Kulevya
Shuhuda
-
Naitwa Jackline Peter Mfughala. nimetumia dawa za kulevya kwa muda wa miaka mitano. Nilianza kujiingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya nilipomaliza kidato cha nne, wakati niko “idle” nyumbani nikisubiri majibu ya mitihani....
Soma zaidiJackline Peter Mfaghala
Dawa za kulevya zilivyoharibu ndoto zangu -
Kwa jina naitwa Jimmy Batistuta natokea Dar es Salaam. Niko katika Sober House ya Kigamboni. Mimi nilipata madhara makubwa kutokana na Dawa za Kulevya. Nimefanyiwa upasuaji mkubwa mara mbili kutokan...
Soma zaidiJimmy Batistuta
Nilinusurika kufa kwa kusafirisha dawa za kulevya
-
5 Pics
Kamishna Jenerali wa DCEA Gerald Kusaya, ameiwakilisha Tanzania katika mkutano wa 64 wa majadiliano ya kamisheni ya kimataifa ya udhibiti wa dawa za kulevya duniani uliofanyika mwezi Oktoba , 2021 jijini Vienna Nchini Austria.
-
5 Pics
Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko (katikati) akifafanua jambo alipokuwa akizungumza na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ,Gerald Kusaya (wa tatu kulia).
-
4 Pics
Kamishna jenerali akioeshwa baadhi ya vifaa vilivyotumiwa zamani katika kurusha matangazo ya redio Tanzania Dar es Salaam