(DCEA)
Naitwa Jackline Peter Mfughala. nimetumia dawa za kulevya kwa muda wa miaka mitano. Nilianza kujiingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya nilipomaliza kidato cha nne, wakati niko “idle” nyumbani nikisubiri majibu ya mitih... Soma zaidi
Kwa jina naitwa Jimmy Batistuta natokea Dar es Salaam. Niko katika Sober House ya Kigamboni. Mimi nilipata madhara makubwa kutokana na Dawa za Kulevya. Nimefanyiwa upasuaji mkubwa mara mbili ku... Soma zaidi
Naitwa Saidi Bandawe, nina umri wa miaka 43, ni mkazi wa Tanga. Nilianza matumizi ya dawa za kulevya nikiwa mdogo sana.Nilianza na petroli, nikaja bangi, pombe, nikaeendelea kwenye Heroin cocai... Soma zaidi
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya
S.L.P 80327
8 Barabara ya Kivukoni Front, 11486 Dar es salaam
Dar es Salaam
Simu: +255 22 211 3754/57
Nukushi: +255 22 211 3752
Barua pepe: cg@dcea.go.tz
© 2023 Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya. Haki zote zimehifadhiwa..
Imesanifiwa, Imetengenezwa, na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) na Inaendeshwa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya