Precursor Control
Precursor Control
Udhibiti wa kemikali bashirifu unafanyika ili kuzuia uchepushwaji wa kemikali hizo na kutumika kutengeneza dawa za kulevya. Nchini Tanzania Kemikali bashirifu zinadhibitiwa chini ya sheria zifuatazo:
1. Sheria ya kemikali za viwandani na majumbani ya mwaka 2003 (Udhibiti na Usimamizi).
2. Sheria ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya namba 5 ya mwaka 2015.
3. Sheria ya Chakula, Dawa na Vipodozi namba 1 ya mwaka 2003.