Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Waziri Mkuu

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya

( DCEA )

Dira & Dhima

Dira

  • Kujenga jamii ya Watanzania isiyotumia dawa za kulevya na kutoshiriki katika biashara ya dawa hizo

Dhima

  • Kujenga mfumo bora wa kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya nchini, kuendeleza ushirikiano katika hatua mbalimbali za kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya na kujenga uwezo wa Taasisi na Asasi zisizo za Kiserikali katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya