Elimu
Elimu
Imewekwa: 16 January, 2017

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya hutoa elimu kwa wananchi na makudi mbalimbali ya kijamii kupitia majukwaa mbalimbali ili kuhakikisha jamii inapata uelewa sahihi juu ya tatizo la dawa za kulevya.