Makamishina Wastaafu
Makamishina Wastaafu
Hawa ni makamishna jenerali wastaafu waliolitumikia Taifa kwa uadilifu na kujitolea katika kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya. Mchango wao umeacha alama kubwa katika historia ya Mamlaka na unaendelea kuwa dira kwa vizazi vijavyo.