Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Waziri Mkuu

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana Dawa za Kulevya

( DCEA )

Nyumba ya Upataji Nafuu ya Life and Hope Yapata Kompyuta

Imewekwa: 13 June, 2018
Nyumba ya Upataji Nafuu ya Life and Hope Yapata Kompyuta

Mkuu wa Kitengo Cha Ugavi cha Mamlaka ya Kudhiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Bi. Kijori Said akikabidhi Msaada wa Kompyuta kwa Mkurugenzi wa Nyumba ya Upataji Nafuu ya Life and Hope Rehabilitation Bw. Salum Bhanji mjini Bagamoyo. Aprili 27, 2017