Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Waziri Mkuu

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya

( DCEA )

Taarifa ya Hali ya Dawa za Kulevya Nchini kwa Mwaka 2020 Kama Ilivyowasilishwa Bungeni Tarehe 10/06/2020

Naibu waziri wa Nchi ofisi ya Rais, Sera Bunge, Vijana , Ajira na Walemavu Mhe. Anthony Mavunde akizungumza na waandishi wa habari juu ya taarifa hiyo.