Ukamataji wa Kilo 54,489.65 za Dawa za Kulevya
Ukamataji wa Kilo 54,489.65 za Dawa za Kulevya
04 April, 2024
Pakua
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) imefanikisha operesheni kubwa katika mikoa sita na kuongoza kukamatwa kwa jumla ya zaidi ya kilo 54,500 za dawa za kulevya.