Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Waziri Mkuu

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana Dawa za Kulevya

( DCEA )

Tanzania na India Kushirikiana Kupinga Dawa za Kulevya

Imewekwa: 02 June, 2022
Tanzania na India Kushirikiana Kupinga Dawa za Kulevya

amishna Jenerali Gerald Musabila Kusaya leo amekutana na Balozi wa India Nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan akiwa ameambatana na mwambata Murty Satya Jallepalli kwenye ofisi za Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa lengo la Kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na India dhidi ya mapambano ya dawa za kulevya.