Ukaguzi wa Kemikali Bashirifu
Ukaguzi wa Kemikali Bashirifu
Imewekwa: 13 June, 2018
Maofisa wa Mamlaka ya Kudhiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Nchini wakifanya Ukaguzi wa Kemikali Bashirifu zilizokamatwa katika Bandari ya Dar es Salaam zikiingizwa nchini kinyume na sheria. Juni 2, 2017